Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 1: Kukutana > Diagnostic Test

Unit 1: Diagnostic Test

Answer all questions and email your answers to your instructor.
1. Jaza mapengo kwa kutumia maneno sahihi (Select the correct word):
 
Hodi
Hujambo
Habari
Shikamoo
Hamjambo
Watoto
Karibu
Asante
Kwaheri
Tutaonana

2. Insha. Andika aya moja kuhusu wewe mwenyewe. (Insha. Write a paragraph about your self. Base your essay on the following questions: What's your name. Where do you live? Where do you come from? Where do you work/study? Do you have brothers and sisters? etc.)

3. Maliza sentensi hizi kama sentensi ya kwanza: (Complete the following sentences like the first one:)
Ex. Mimi/kaa Philadelphia > Mimi ninakaa Philadelphia
Wewe/toka Kenya
Yeye/soma Chuo Kikuu cha Pennsylvania
Sisi/kaa Philadelphia
Ninyi/toka Kenya
Wao/soma Chuo Kikuu cha Pennsylvania
4. Jibu maswali haya ya maamkio:
Hujambo?
Hamjambo?
Dada hajambo?
Watoto hawajambo?

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

 

© African Studies Institute, University of Georgia.