Select Unit > Unit 1: Kukutana > Useful everyday expressions - Unit 1 |
Hodi Karibu
Karibu
ukae Asante
Hujambo?
Sijambo
Watoto
hawajambo? Hawajambo.
Shikamoo. Marahaba.
Habari
za hapa? Nzuri.
Habari
za kazi? Salama.
Habari
za nyumbani? Salam tu
Habari
za safari? Njema tu.
Kutoa
pole (To sympathize)
Pole
na (machofu ya) safari. Nimeshapoa.
(sympathizing
with the tiredness caused after a long trip)
Kwaheri Kwaheri
Kwaherini Kwaheri
Tutaonana
baadaye. Tutaonana.
Tutaonana
mchana. Tutaonana
Nisalimie
nyumbani. Asante.
Kujuana
(Knowing each other)
Jina
lako ni nani? Jina langu ni
Kabuiya Kimani.
Unatoka
wapi? Ninatoka Kenya.
Unakaa
wapi sasa? Ninakaa Phialdelphia.
Unasoma
wapi? Ninasoma Chuo
Kikuu cha Pennsylvania.
Huyu ni
nani? Huyu ni
kaka yangu.
Jina lake
ni nani? Jina lake ni
Idarusi.
© African Studies Institute, University of Georgia. |