Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 1: Kukutana > Lesson 2: Kuamkia shikamoo

    

KUAMKIA 'SHIKAMOO'
(GREETING SHIKAMOO)


Mama Hadija: Hadija

Hadija: Abee

Mama Hadija: Njoo

Hadija: Shikamoo

Mgeni: Marahaba

(Idarousse and Mustafa appear)

Idarousse: Shikamoo

Mgeni: Marahaba

Mustafa: Shikamoo

Mgeni: Marahaba. Aah! Watoto wamekuwa wakubwa sasa.

Mama Hadija: Eeeh.

Baba Hadija: Kama mnazi.

© African Studies Institute, University of Georgia.