Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 1: Kukutana > Lesson 3: Kwaheri MGENI

    

KWAHERI MGENI (Goodbye guest)

Mgeni: Hodi.

Mama Hadija: Karibu.

Mgeni: Habari za hapa?

Mama Hadija: Nzuri tu. Karibu ukae.

Mgeni: Asante.

Mama Hadija: Habari za nyumbani?

Mgeni: Habari za nyumbani, nzuri. Habari za watoto?

Mama Hadija: Watoto hawajambo.

[Baada ya dakika tano hivi, mgeni anaondoka: After five minutes or so, mgeni leaves]

Mgeni: Haya kwaheri.

Mama Hadija: Haya Kwaheri.

Mgeni: Tutaonana baadaye.

Mama Hadija: Haya kwaheri. Nisalimie nyumbani.

Mgeni: Asante sana.

© African Studies Institute, University of Georgia.