Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 1: Kukutana > Lesson 4: Kuondoka

 

    

KUONDOKA (TO LEAVE)

Juma: Shikamoo mama.

Mama: Marahaba.

Fatuma: Shikamoo.

Mama: Marahaba. Mko tayari kwenda shule?

Juma na Fatuma: Ndiyo, mama.

Mama: Haya. Kwaherini.

Juma na Fatuma: Kwaheri mama.

Mama: Tutaonana mchana.

Watoto: Tutaonana.

 

 

© African Studies Institute, University of Georgia.