Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 1: Kukutana > Lesson 6: Kujuana

    

KUJUANA (TO KNOW EACH OTHER)

Mimi
ni Hadija.
Huyu ni kaka yangu mdogo.
Jina lake ni Idarusi.

Mimi ni Idarusi.
Huyu ni kaka yangu mdogo.
Jina lake ni Mustafa.

Mimi ni Mustafa.
Huyu ni dada yangu mkubwa.
Huyu ni kaka yangu mkubwa.

 

 

 

© African Studies Institute, University of Georgia.