Home
Overview
Technical Help
Select Unit
>
Unit 1:
Kukutana
>
Cloze exercise (supplementary):
Reading & Listening
Listen to the story
Fill-out the blanks with the words you hear
Answer questions
Write a brief narration about what you listen
Mail the answers to your teacher.
(Click here to hear reading)
Maamkio
Watu wa Tanzania
Kiswahili lakini wana
tofauti. Kwanza watoto wa Zanzibar
wanasema 'chechei' kuamkia watu
na jawabu lake ni 'chechei'. Watoto
na watu wazima wanaamkia wakubwa wao kwa
'subalkheri' kwa wakati wa
na 'msalkheri' kwa jioni. Wakubwa
'subalkheri' au 'msalkheri'. Huko Tanzania bara,
na watu wazima
wakubwa wao kwa kusema 'shikamoo' na wakubwa wanajibu kwa kusema 'marahaba.' Kwa desturi watoto huanza kuamkia watu wazima.
Maswali
On-line exercise: Answer the following questions and send them to your instructor.
1. Je, maamkio ni sawasawa katika Tanzania yote?
2. Watoto wa Zanzibar wanaamkia vipi?
3. Nini jawabu ya msalkheri?
4. Kwa desturi nani huanza kuamkia?
5. Watoto wanaamkia vipi katika Tanzania bara?
6. Msalkheri na subalkheri hutumika wakati gani?
7. Write a short essay based on the story
Enter your instructor's email:
Your name:
Your email:
© African Studies Institute, University of Georgia.