Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 3: Familia - Family > Diagnostic test
Jibu maswali yote - (Answer all questions: )

1. Andika maana ya maneno haya ya familia kwa Kiingereza na kwa Kiswahili (Write the meaning of the following family terms in English and Kiswahili)


1) Baba

2) Bibi
3) Dada

4) Kaka

5) Mama
6) Babu
7) Shangazi
8) Baba mdogo

9) Mama mkubwa

2. Andika insha fupi juu ya familia yako. (Write a short essay about your family)

3. Unakutana na rafiki yako wa zamani. Mnazungumza kuhusu familia zenu. Kila mmoja anataka kujua mabo mbalimbali juu ya kila familia. Andika mazungumzo yenu. (You meet an old friend. You talk about your families. Each one wants to know different things about each family. Write your conversation)


Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

 

 

© African Studies Institute, University of Georgia.