Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 3: Familia - Family > Lesson 1: Baba, mama, na watoto

    

BABA, MAMA, NA WATOTO. (FATHER, MOTHER, AND CHILDREN)

Utangulizi: Familia ya Bwana Ahmed ina watu watano. baba, mama, na watoto watatu. Hadija ni mtoto wao wa kwanza. Wao ni baba na mama Hadija.

Hadija: Mimi ni Hadija. Huyu ni kaka yangu mdogo. Jina lake Idarusi.

Idarusi: Mimi ni Idarusi. Huyu ni kaka yangu mdogo. Jina lake Mustafa.

Mustafa: Mimi ni Mustafa. Huyu ni dada yangu mkubwa na huyu ni kaka yangu mkubwa.

Utangulizi: Familia ya baba na mama Hadija.

 

 

 

© African Studies Institute, University of Georgia.