Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 3: Familia > Lesson 2: Ndugu wa wazazi

    

NDUGU WA WAZAZI. SIBILINGS OF THE PARENTS.

Huyu ni mama wa Omar na Abduli. Mama Omar anawaonyesha Omar na Abduli picha za familia.

Huyu ni shangazi wa Omar na Abduli. Shangazi ni dada mkubwa au dada mdogo wa baba.

Huyu ni mama mdogo wa Omar na Abduli. Yaani dada mdogo wa mama Omar.

Huyu ni baba mdogo wa Omar na Abduli. Yaani kaka mdogo wa baba Omar.

 

 

 

© African Studies Institute, University of Georgia.