Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 3: familia > Lesson 3: Babu na wajukuu

    

BABU NA WAJUKUU WAKE. GRANDFATHER AND HIS GRANDCHILDREN.

Familia pia ni babu na bibi. Babu ni baba wa baba au baba wa mama. Bibi ni mama wa baba au mama wa mama

Huyu ni babu na wajukuu wake. Jina la babu ni Mzee Ayubu. Mjukuu mkubwa ni Omar na mjukuu mdogo ni Abduli. Omar ana miaka mitano na Abduli ana miaka mitatu. Babu na wajukuu wake wamevaa kanzu nyeupe kwa sababu wao ni Waislamu

 

 

 

© African Studies Institute, University of Georgia.