Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 3: Familia > Lesson 6: Sherehe

    

SHEREHE. CELEBRATION.

Hii ni sherehe ya kuzaliwa ya mtoto wa bwana na bibi Temu.

Kama kuna sherehe katika familia, ndugu na marafiki wanafika na wanakula na kunywa pamoja. Ni wakati wa kuzungumza juu ya mambo mbalimbali ya maisha na siasa.

Wanawake katika familia wanawahudumia wageni

 

 

 

© African Studies Institute, University of Georgia.