Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 5: Kununua na Kuuza > Exercise 2:

Exercise 2: Zoezi la pili

Jaza mapengo kwa kuchagua jawabu sahihi (Fill in the blanks by choosing the correct response)

1. Papa, pweza, na kaa ni aina ya
  1. matunda
  2. mboga
  3. wanunuzi
  4. samaki
  5. mbegu
2. Machenza, mapapai, na mafenesi ni aina ya
3. Maharagwe, njegere, na choroko ni aina ya
4. Kisamvu, mchicha, na bamia ni aina ya
5. Nuru, Zuena, na Halima ni

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

© African Studies Institute, University of Georgia.