Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 5: Kununua na Kuuza > Exercise 4:

Exercise 4: Zoezi la nne.

Soma tena somo la nne halafu ujibu maswali haya. Read lesson 4 again and then answer the following questions.

Andika bei kwa nambari Andika neno 'shilingi' mbele ya kila bei. (Write the prices in numerical form. Write the word 'Shilling' in front of each price.)

1. Bei ya daftari moja ni
  1. Shilingi 300.00
  2. Shilingi 600.00
  3. Shilingi 200.00
  4. Shilingi 400.00
  5. Shilingi 1000.00
2. Bei ya kitabu cha Sayansi ni
3. Bei ya kalamu za rangi ni
4. Bei ya rula moja ni
5. Bei ya rula mbili ni

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

© African Studies Institute, University of Georgia.