Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 5: Kununua na Kuuza. Buying and Selling > Exercise 5

Exercise 5: Zoezi la tano

Angalia stempu hizi halafu ujibu maswali. Andika bei kwa maneno. Tumia neno 'shilingi' kabla ya kuandika bei. (Look at the following stamps and then answer the questions. Write the price in words Use the word 'Shiling' at the beginning of each price.)

1. Stempu moja ni bei gani?
  1. Shilingi elfu sita mia nne
  2. Shilingi elfu tatu mia mbili
  3. Shilingi elfu moja mia sita
  4. Shilingi elfu mbili mia nne
  5. Shilingi mia nane
2. Stempu mbili ni bei gani?
3. Stempu tatu ni bei gani?
4. Stempu nne ni bei gani?
5. Unataka kutuma kifurushi kwenda Marekani. Utahitaji stempu nane kama hizi. Je utalipa bei gani?

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

© African Studies Institute, University of Georgia.