Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 5: Kununua na Kuuza. Buying and Selling > Lesson 5: Kununua stempu

    

KUNUNUA STEMPU. (BUYING STAMPS).

Mhudumu: Hujambo.

Mteja: Sijambo. Habari yako?

Mhudumu: Salama tu.

Mteja: Mambo?

Mhudumu: Safi.

Mteja: Naomba stempu za shilingi sabini sabini shiti moja, shilingi mia mbili shiti moja, na shilingi mia tano shiti moja.

Mhudumu: Kwa hivyo shiti tatu jumla.

Mteja: Ndiyo.

Mhudumu: Hii hapa shilingi elfu kumi, halafu shilingi elfu hamsini, halafu shilingi elfu tatu mia tano.

Mteja: Asante.

Mhudumu: Kwa hivyo shilingi elfu sabini na tatu.

Mteja: Haya, asante.

Mhudumu: Haya, asante. Karibu tena.

Mteja: Asante.

 

© African Studies Institute, University of Georgia.