Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 6: Elimu> Diagnostic test
Jibu maswali yote (Answer all questions).
1. Andika aya moja juu ya shule ya msingi ambayo ulihudhuria. Lini ulihudhuria shule ya msingi? Ulipenda masomo gani? Mwalimu wako bora alikuwa mwalimu gani? Kwa nini? Ulipenda michezo gani ya shule? Na kadhalika. (Write a short paragraph on your elementary school. When did you attend elementary school? What classes did you like? Who was your favorite teacher? Why? What kind of games did you like? etc.)


2. Andika aya moja juu ya shule yako ya sekondari. Lini ulisoma shule ya sekondari? Ulichukua mkondo gani? Wanafunzi wa Tanzania wanavaa sare. Je wewe ulivaa mavazi gani? Na kadhalika. (Write a paragraph on the secondary/high school that you attended. When did you attend secondary school? What courses did you take? Tanzanian students wear school uniform. What kind of clothes did you wear? etc.)


3. Unakutana na rafiki yako. Sasa mko likizo lakini mnasoma vyuo vikuu mbali mbali. Mnazungumza juu ya vyuo vyenu vikuu: viko wapi? mnasoma nini; walimu wenu; na kadhalika. Andika mazungumzo yenu. (You meet your friend. Now you are on vacation but you attend different schools. You talk about your different schools: where they are located; what courses you are taking; your teachers; etc. Write your conversation).
Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

 

© African Studies Institute, University of Georgia.