Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 6: Elimu > Glossary

Unit 6: Glossary

Kiswahili English
- ajiriwa (-ajiri)to be hired (to hire)
-andaakujiandaa (to prepare oneself)
-anza to start (kuanzisha - to cause something to start)
-badilisha to change (something)
baolojiabiology
barazaschool assembly
biasharacommerce, business
binafsipersonal
buluublue
-changia to contribute
-chongato curve, to make furniture
chuo kikuuuniversity
elimueducation
fanisector
fanicha furniture
-fanyato do
-fauluto pass, to succeed
fizikiaphysics
-fundishato teach
-fungato close
halafuthen, afterward
hisabatimathematics
idaradepartment(s)
-ingiato enter
isipokuwaexcept
-ja (kuja) to come
jiografiageography
kaptula pair of shorts
kemiachemistry
kidatograde
kijanigreen
KiingerezaEnglish
kila la kheribest wishes
KiswahiliSwahili
-kuta to meet (kukutana - to meet with each other)
likizo vacation
lughalanguage(s)
maalumspecial
madarasa (darasa)classes (class)
majadilianodiscussions
majembe (jembe)hoes (hoe)
majengo (jengo)buildings (building)
makabati (kabati)cupboards (cupboard)
matokeo (tokeo)results (result)
mawazo (wazo)thoughts, opinions (thought, opinion)
mazingiraenvironment
mezatable(s)
mfanyabiashara (wafanyabiashara)businessman (businessmen
mhadhara (mihadhara)lecture (lectures)
mikoa (mkoa)regions (region)
mikutano (mkutano)conferences, meetings (conference, meeting)
miradi (mradi) projects (project)
mitihani (mtihani)examinations (examination) (mitihani ya Taifa - national exams)
mkazi (wakazi)resident (residents)
mkoa (mikoa)region (regions)
mkondo (mikondo)stream (streams)
mudaperiod of time
ndoobucket(s)
nyanjasector(s)
ofisioffice(s)
sanaaart
sayansi science
sehemusection(s)
serikali government(s)
shahadadegree(s)
shule ya msingiprimary school(s) (shule za sekondari - secondary school, shule ya bweni - boarding school, shule za ufundi - technical schools)
-simamiasupervise
sketiskirt(s)
-subirito wait
-takato want (nakutakia - I wish you)
tayariready
-tengenezato make
-tembeato walk (tembelea - visit (someone))
-toagive out, offer
tofautidifferent
uchongajicarving
ufundi chumamechanics
uhandisi umemeelectrical engineering
uhasibuaccounting
usaficleanliness
useremalacarpentry
vibatari (kibatari)metal candle-like lamps which use oil and a wick
viranja (kiranja)student leaders, prefects
vitanda (kitanda)beds
viti (kiti)chairs
walimu wa zamu (mwalimu wa zamu)teachers on duty (teacher on duty)

 

 

© African Studies Institute, University of Georgia.