Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 6: Elimu> Exercise 4:

Exercise 4: Zoezi la nne

Soma tena somo la nne halafu, ujibu maswala haya ya ufahamu (Read lesson four again, then answer these questions for comprehension).

  1. Kombo na Nuru wamekutana mji gani?
  a. mtihani wa taifa
   
  b. sare
   
  c. Dodoma
  d. Nuru
  e. Morogoro
  2. Kombo anasoma shule ya bweni ya wapi?
  a. mtihani wa taifa
   
  b. sare
   
  c. Dodoma
  d. Nuru
  e. Morogoro
  3. Katika katika kidato cha nne, wanafunzi inabidi wafanye nini?
  a. mtihani wa taifa
   
  b. Kombo
   
  c. Dodoma
  d. Nuru
  e. Morogoro
  4. Ni lazima wanafunzi wavae nini?
  a. mtihani wa taifa
   
  b. sare
   
  c. Dodoma
  d. Nuru
  e. Morogoro
  5. Nani ataanza kujiandaa kwa mtihani wa taifa?
  a. mtihani wa taifa
   
  b. Kombo
   
  c. Dodoma
  d. Nuru
  e. Morogoro

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

© African Studies Institute, University of Georgia.