Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 6: Elimu> Exercise 6:

Exercise 6: Zoezi la sita

Soma tena somo la sita, kisha ujaze mapengo kwa kuchagua neno/kikundi cha maneno sahihi (Read lesson six again, then fill in the blanks by selecting the correct word or phrase).

  1. Kutengeneza majembe ni kazi ya________________
  a. fanicha
  b. Ufundi
  c. fundi chuma
  d. seremala
  e. serikalini
   
  2. Kutengeneza vitanda ni kazi ya__________________
  a. fanicha
  b. Ufundi
  c. fundi chuma
  d. seremala
  e. serikalini
   
  3. Vitanda, viti na makabati ni aina ya ______________
  a. fanicha
  b. Ufundi
  c. fundi chuma
  d. seremala
  e. serikalini
   
  4. Wakimaliza shule baadhi ya wanafunzi wanafanya kazi ________
  a. fanicha
  b. Ufundi
  c. fundi chuma
  d. seremala
  e. serikalini
   
  5. Juma ni mwanafunzi wa shule ya__________________________
  a. fanicha
  b. Ufundi
  c. fundi chuma
  d. seremala
  e. serikalini
   

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

© African Studies Institute, University of Georgia.