Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 8: Jografia (Geography) > Diagnostic Test

Unit 8: Diagnostic Test

Jibu maswali yote Kisha tuma majibu kwa mwalimu wako - Answer all questions and email the answers to your instructor.
I. Maneno ya kikundi cha kwanza yana uhusiano na maneno ya kikundi cha pili. Fananisha kwa kuandika katika nafasi uliyopewa.
Kikundi cha kwanza. Kikundi cha pili.
1. Mlima Kilimanjaro
A. Kuteketeza
2. Maporomoko ya maji
B. Magofu
3. Kuezekwa
C. Theluji
4. Mfalme
D. Kulisha wanyama
5. Moto
E. Kutawala
6. Kibla
F. Kutiririka
7. Mabaki
G. Makuti
8. Ufugaji
H. Msikiti

II. Andika neno la kitenzi (verb) kutokana na maneno ya nomino (noun) uliyopewa. Fanya sentensi kwa kutumia maneno yote mawili.

Kwa mfano: Lengo kulenga

Lengo la wanafunzi ni kufanya mtihani vizuri. Wanalenga kuufanya mtihani huu mwisho wa mwaka.

1. ulinzi
2. marekebisho
3. makumbusho
4. majengo
5. makao
III. Ukipata nafasi ya kwenda Afrika ya Mashariki utatembelea sehemu gani? Kwanini? Andika insha ya ukurasa mmoja.


Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

 

© African Studies Institute, University of Georgia.