Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 8: Jiografia (Geography) > Exercise 2:

Exercise 2: Zoezi la pili :

Ni kweli au Si kweli? Bonyeza mshale sahihi

1.Asilimia kubwa ya wananchi wa Tanzania wanaishi mijini KweliSi kweli
2. Tanzania ina vijiji vikubwa na vidogo. KweliSi kweli
3. Katika vijiji watu hutembea kwa miguu. KweliSi kweli
4. Watu wengi wa vijijini wanajishughulisha kwa ukulima na ufugaji. KweliSi kweli
5. Nyumba za vijijini zinafanana na nyumba za mijini. KweliSi kweli

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

© African Studies Institute, University of Georgia.