Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 8: Jiografia (Geography)> Exercise 3:

Exercise 3: Zoezi la tatu

Jaza nafasi kwa kuchagua jawabu sahihi kutoka a mpaka e.

1. 1. Historia ya Tanzania ni historia ya mbalimbali
  1. Masuria
  2. Mfalme
  3. Wakoloni
  4. Magofu
  5. Waarabu
2. Majengo ya zamani ya Unguja, yanaonyesha kuwa Unguja ilitawaliwa na
3. Kasri ya Baraghash ilikuwa ya kuwekea wake.
4. Barghash alikuwa
5. Maruhubi ni sehemu yenye

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

 

© African Studies Institute, University of Georgia.