Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 8: Jiografia (Geography) > Exercise 6:

Exercise 6: Zoezi la sita:

Ni kweli au Si kweli? Bonyeza mshale sahihi

1. Mji wa Dar-es-Salaam si mdogo. KweliSi kweli
2. Katika mji wa Dar-es-Salaam wafanya biashara ndogo ndogo hupata mapato makubwa. KweliSi kweli
3. Katika mitaa ya Dar-es-Salaam, bidhaa mbalimbali huuzwa kandokando ya barabara. KweliSi kweli
4. Hoteli ya Kilimanjaro ni hoteli ya kitalii. KweliSi kweli
5. Vyakula na vinywaji vyote vinavyouzwa katika hoteli ya Kilimanjaro hutoka nchi za nje. KweliSi kweli

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

© African Studies Institute, University of Georgia.