Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 9: Usafiri (Travel) > Diagnostic Test

Unit 9: Diagnostic Test

Jibu maswali yote - Answer all questions and email the answers to your instructor.
Ia. Watu wa Afrika ya Mashariki wanatumia vyombo gani wanaposafiri kwa barabara?

1.

2.

3.

4.

Ib. Watu wa Afrika ya Mashariki wanatumia vyombo gani wanaposafiri majini?

1.

2.

3.

4.

Ic. Kwa desturi unafanya nini unapofika kiwanja cha ndege cha kimataifa?

1.

2.

3.

 

Maneno ya kikundi cha kwanza yana uhusiano na maneno ya kikundi cha pili. Fananisha kwa kuandika katika nafasi uliyopewa.

II. Andika neno la kitenzi (verb) kutokana na maneno ya nomino (noun) uliyopewa. Fanya sentensi kwa kutumia maneno yote mawili. (Write a verb from the given nouns. Use both words in a sentence. Follow the given example)

Kwa mfano: Lengo kulenga

Lengo la wanafunzi ni kufanya mtihani vizuri. Wanalenga kuufanya mtihani huu mwisho wa mwaka.

1. ukaguzi
2. mazungumzo
3. mazao
4. mifugo
5. mwendo
III. Andika insha ya ukurasa mmoja juu ya safari ambayo umeifanya au ungependa kuifanya.
Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

 

© African Studies Institute, University of Georgia.