Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 9: Usafiri (Travel) > Exercise 1:

Exercise 1: Zoezi la kwanza :

Ni kweli au Si kweli? Bonyeza mshale sahihi

1. Wageni wengi wanapokuja Tanzania wanakuja kwa meli KweliSi kweli
2. Kuna viwanja viwili vya ndege vya kimataifa nchini Tanzania. KweliSi kweli
3. Kiwanja cha kimataifa cha Dar-es-Salaam kiko Kilimanjaro. KweliSi kweli
4. Wageni wanapofika Tanzania wanapitia katika ukaguzi wa afya, pasipoti na mizigo. KweliSi kweli
5. Kiwanja cha ndege cha Dar-es-Salaam kinapokea ndege kutoka Kenya, Zimbabwe na Ufaransa tu KweliSi kweli

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

© African Studies Institute, University of Georgia.