Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 9: Usafiri (Travel) > Exercise 3:

Exercise 3: Zoezi la Tatu

Jaza nafasi kwa kuchagua jawabu sahihi kutoka a mpaka e.

1. Wananchi wengi wa sehemu mbalimbali za Tanzania hutegemea usafiri wa
  1. mabasi
  2. barabara
  3. vyombo
  4. kushoto
  5. magari
2. Usafiri wa barabara hutumia mbalimbali
3. Katika Tanzania magari hupita upande wa wa barabara
4. Katika miji mingi ya Tanzania, wananchi wengi hawana
binafsi
5. 5. Watu wengi hutumia kwenda kazini.

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

 

© African Studies Institute, University of Georgia.