Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 9: Usafiri (Travel) > Exercise 5:

Exercise 5: Zoezi la Tano:

Jaza nafasi kwa kuchagua jawabu sahihi kutoka a mpaka e.

1. Wakazi wa sehemu za pwani hutumia usafiri wa
  1. taratibu
  2. majahazi
  3. kasi
  4. makasia
  5. majini
2. Usafiri wa majini hutumia vyombo mbalimbali kama
3. Ngarawa hutumia katika uendeshaji wake
4. Boti za kisasa zina mwendo wa
5. Vyombo vya majini vya kijadi vina mwendo wa

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

 

© African Studies Institute, University of Georgia.