Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 11: Shughuli Mbalimbali (Different Activities) > Diagnostic Test

Unit 11: Diagnostic Test

Jibu maswali yote. Kisha tuma majibu kwa mwalimu wako.
I. Panga maneno haya katika mafungu matatu yanayohusika. Kila fungu lina maneno manne.
Fungu la kwanza: Ukulima 
Fungu la pili: Ufugaji
Fungu la tatu: Uchongaji na Useremala
 
II. Katika nafasi uliyopewa, andika maana ya maneno haya kwa kuchagua kutoka A mpaka F.
Kikundi cha kwanza.   Kikundi cha pili.
1. Kutotoa
A. Mazao
2. Kukamua
B. Maagizo
3. Kutoa
C. Vifaranga
4. Kuotesha
D. Vinyago
5. Kupalilia
E. Maziwa
6. Kuvuna
F. Mimea
7. Kuchonga
G. Magugu
 
III. Andika insha ya ukurasa mmoja juu ya shughuli muhimu ambazo watu wan chi yako wanafanya.Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

 

© African Studies Institute, University of Georgia.