Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 11: Shughuli Mbalimbali (Different Activities)> Exercise 2:

Exercise 2: Zoezi la Pili:

Jaza nafasi kwa kuchagua jawabu sahihi kutoka a mpaka e.

1. inasaidia kukuza mimea.
  1. nyasi
  2. mpunga
  3. ushauri
  4. dawa
  5. mbolea
2. Bwana shamba anawapa wakulima
3. Wakulima wanasumbuliwa na
4. Mkulima anataka kuua magugu kwa kutumia
5. Mkulima ameshavuna

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

 

© African Studies Institute, University of Georgia.