Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 11:Shughuli Mbalimbali (Different Activities) > Exercise 3:

Exercise 3: Zoezi la Tatu

Ni kweli au Si kweli? Bonyeza kisanduku sahihi.

1. Mbuzi wa maziwa wanalishwa nje. KweliSi kweli
2. Mbuzi wa maziwa wanalishwa majani na pumba. KweliSi kweli
3. Kuna mbuzi watano wa maziwa. KweliSi kweli
4. Wanafunzi wanafundishwa jinsi ya utunzaji wa ng'ombe. KweliSi kweli
5. Mradi wa nguruwe unapendwa sana na wananchi. KweliSi kweli
 

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

© African Studies Institute, University of Georgia.