Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 11: Shughuli Mbalimbali (Different Activities)> Exercise 4:

Exercise 4: Zoezi la nne:

Jaza nafasi kwa kuchagua jawabu sahihi kutoka a mpaka e.

1. anatembelea miradi.
  1. vifaranga
  2. vyombo
  3. wafanyakazi
  4. mama Mwisongo
  5. mayai
2. wanasafisha mabanda ya kuku.
3. Wafanya kazi wanachagua ya kuuza
4. Wanachagua mayai ya kutotolea
5. Wafanyakazi wanasafisha vya chakula cha kuku.

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

 

© African Studies Institute, University of Georgia.