Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 11:Shughuli Mbalimbali (Different Activities) > Exercise 5:

Exercise 5: Zoezi la Tano

Ni kweli au Si kweli? Bonyeza mshale sahihi.

1. Sanaa ni sehemu muhimu ya utamaduni na historia ya watanzania. KweliSi kweli
2. Watalii hupenda kununua vinyago KweliSi kweli
3. Vinyago vyote huuzwa ulaya. KweliSi kweli
4. Kuchonga ni kazi rahisi. KweliSi kweli
5. Wachongaji wanafanya kazi kwa ushirika. KweliSi kweli
 

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

© African Studies Institute, University of Georgia.