Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 16: Siasa> Exercise 1:

Exercise 1: Zoezi la kwanza

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Taja dini mbili ambazo zinafuatwa Tanzania?

2. Siku ya Ijumaa ni siku ya dini gani?

3. Kuna ibada gani muhimu siku ya Ijumaa?
4. Kwanini wananchi wanaruhusiwa kuondoka kazini mapema?
5. Sala ya Ijumaa huanza saa ngapi ?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.