Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 16: Dini> Exercise 2:

Exercise 2: Zoezi la pili

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Nani hutoa hotuba ya sala ya Ijumaa?

2. Mtoaji hotuba husimama wapi?

3. Mtoaji hotuba huvaa mavazi gani?
4. Kwa kawaida sala huongozwa na nani?
5. Mwanzo wa sala watu hushuhudia nini?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.