Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 16: Dini> Exercise 3:

Exercise 3: Zoezi la tatu

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Wakristo huenda wapi siku ya Jumapili?

2. Kwanini wakristo hawaendi kanisani kila siku?

3. Kwanini watu humshukuru Mungu?


4. Kanisani watu wanakutana na nani?
5. Watu hufanya nini kabla na baada ya sala?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.