Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 16: Dini> Exercise 4:

Exercise 4: Zoezi la tano

Sikiliza maelezo. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Kipaimara ni sikukuu gani?

2. Nani huendesha sala ya sikukuu ya Kipaimara?

3. Washiriki wamevaa nini?


4. Watoto wanapewa nini?

5. Kila mshiriki wa Kipaimara hufuatana na nani?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.