Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 16: Dini> Exercise 5:

Exercise 5: Zoezi la tano

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Kanisa la Kianglikani la Zanzibar lilijengwa mwaka gani?

2. Nani alijenga kanisa hili?

3. Kabla ya kanisa kujengwa kulikuwa na biashara gani sehemu hii?

4. Mhindi anayeitwa Jeram Sanji alifanya nini?

5. Dr. Livingstone alikuja Afrika Mashariki katika karne gani?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.