Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 16: Dini> Exercise 6:

Exercise 6: Zoezi la sita

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Inabidi waislamu wafanye nini kabla ya kusali?

2. Magofu ya msikiti yalifukuliwa mwaka gani?

3. Wapersia walipata chokaa vipi?

4. Simenti ya kujengea msikiti ilipatikana vipi?
5. Kibla ni sehemu gani ya msikiti?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.