Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 2: Kujua Nambari > Lesson 1: Nambari za simu

    

NAMBARI ZA SIMU. TELEPHONE NUMBERS

Asha: Bakari.

Bakari: Naam.

Asha: Utakwenda wapi wakati wa kiangazi?

Bakari: Nitakwenda Tanzania.

Asha: Kweli?

Bakari: Mmh.

Asha: Utakaa huko siku ngapi?

Bakari: Siku 14. Wiki mbili hivi.

Asha: Unajua namba yako ya simu?

Bakari: Ndiyo. Nambari yangu ya simu. Ni 255-22-2136879.

Asha: Sawa. Na mimi pia nitakwenda Tanzania.

Bakari: Aha.

Asha: Nitazungumza nawe kwa simu.

Bakari:
Haya.

 

© African Studies Institute, University of Georgia.