Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 2 : Kujua Nambari > Lesson 2: Anuani

    

ANUWANI - ADDRESSES

Asha: Baada ya safari yangu ya Tanzania nitakwenda Kenya.

Bakari: Utakaa Kenya muda gani?

Asha: Nitakuwa huko mwezi mmoja.

Bakari: Nipe anuani yako. Nitakuandikia barua.

Asha: Sanduku la posta 129, Nairobi, Kenya.

Bakari: Sawa. Lakini mimi sipendi kuandika barua. Tutazungumza kwa simu tu.

Asha: Sawa.

Bakari: Sawa.

 

 

 

© African Studies Institute, University of Georgia.