Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 2: Kujua Nambari > Exercise 4:

Exercise 4: Zoezi la nne

Go over lessons 3 and 4.
Ni kweli au Si kweli? Bonyeza kisanduku sahihi. True or False? Click on the correct box

1. Gilbert hupumzika nyumbani Jumamosi na Jumapili KweliSi kweli
2. Gilbert anafundisha Kiswahili siku nne KweliSi kweli
3. Gilbert ataanza kufundisha chuo kikuu cha Dar-es-salaam mwezi wa pili au mwezi wa tatu KweliSi kweli
4. Sakina atarudi Tanzania tarehe 20 mwezi wa nane KweliSi kweli
5. Gilbert atarudi Tanzania mwezi wa kwanza KweliSi kweli

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

 

 

 

 

© African Studies Institute, University of Georgia.