Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 2: Kujua Nambari > Lesson 3: Siku za wiki

    

SIKU ZA WIKI NA MIEZI. DAYS OF THE WEEK AND MONTHS

Sakina: Hujambo Gilbert?

Gilbert: Sijambo.

Sakina: Unafundisha Kiswahili siku ngapi kwa wiki?

Gilbert: Nafundisha Siku nne, Jumatatu, Jumanne, Jumatano, na Alhamisi. Ijumaa ni siku yangu ya kusoma maktaba.

Sakina: Mimi sifundishi Kiswahili kipindi hiki. Ninaandika tasnifu yangu Jumatatu mpaka Ijumaa. Jumamosi na Jumapili hupumzika nyumbani.

Gilbert: Jumamosi na Jumapili ni siku zangu za kwanda sokoni na kusafisha nyumba.

Sakina: Sawa.


Gilbert: Hmm.

 

 

 

© African Studies Institute, University of Georgia.