Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 2: Kutumia nambari > Exercise 5:

Exercise 5: Zoezi la tano

Chagua jawabu sahihi. (Review lessons 5 and 6)

    1. Leila alizaliwa mwaka

    1. 1982
     
    2. 1965
     
    3. 1976
     
    2. John alizaliwa mwaka

    1. 1976
     
    2. 1978
     
    3. 1960
     
    3. Dada mdogo wa John alizaliwa mwaka

    1. 1964
     
    2. 1987
     
    3. 1978
     
    4. Mtoto wa Amini, Helena, anasoma.

    1. mwaka wa tatu
     
    2. mwaka wa pili
     
    3. mwaka wa nne
     
    5. Mtoto wa Naima, Amina, anasoma

    1. mwaka wa tatu
     
    2. mwaka wa pili
     
    3. mwaka wa nne
     
    6. Mtoto wa Naima, Ali, anasoma

    1. mwaka wa tatu
     
    2. mwaka wa nne
     
    3. mwaka wa pili
     

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

© African Studies Institute, University of Georgia.