Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 2: Kujua Nambari > Exercise 6:

Exercise 6: Zoezi la sita

Ni kweli au Si kweli? Bonyeza kisanduku sahihi. True or False? Click on the correct box.

1. John alizaliwa mwaka 1982 KweliSi kweli
2. Helena anasoma mwaka wa tatu KweliSi kweli
3. Ali anasoma mwaka wa pili KweliSi kweli
4. Dada mkubwa wa John alizaliwa mwaka 1976 KweliSi kweli
5. Amina anasoma mwaka wa pili KweliSi kweli
6. Kaka mdogo wa juma alizaliwa mwaka 1964 KweliSi kweli
7. Batuli anasoma mwaka wa tatu KweliSi kweli
8. Dada mkubwa wa John alizaliwa mwaka 1958 KweliSi kweli

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

 

 

© African Studies Institute, University of Georgia.