Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 2: Kujua Nambari > Lesson 5: Siku ya kuzaliwa

    

SIKU ZA KUZALIWA. BIRTH DATES

John: Leo nina sherehe ya siku ya kuzaliwa

Lela: Wewe ulizaliwa mwaka gani John?

John: Nilizaliwa mwaka 1960.

Lela: Mimi nilizaliwa mwaka 1965.

John: Dada yako mdogo alizaliwa mwaka gani?

Lela: Dada yangu mdogo alizaliwa mwaka 1970. Kaka yangu mdogo alizaliwa mwaka 1972. Dada yangu mkubwa alizaliwa mwaka 1960 na kaka yangu mkubwa alizaliwa mwaka 1962.

John: Dada yangu mkubwa alizaliwa mwaka 1958. Kaka yangu mkubwa alizaliwa mwaka wa 1956. Dada yangu mdogo na kaka yangu mdogo walizaliwa mwaka wa 1964. Wao ni mapacha.

Lela: Ooh.

 

 

 

© African Studies Institute, University of Georgia.