Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 2: Kujua Nambari > Song: (Supplementary)

 Nambari

Moja, mbili, tatu

Nne, tano, sita

Saba, nane, tisa

Kumi ni ya mwisho

Sasa tunataka kuhesabu tena

Kwahivyo tuanze moja mpaka kumi

 

 

 

© African Studies Institute, University of Georgia.