Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 4:Wakati > Clock: (Diagnostic test)

A. Kwa kawaida unafanya nini katika siku za wikendi, Jumamosi na Jumapili? Andika mambo mawili unayofanya wakati wa asubuhi, mchana, na jioni. (What do you usually do during weekend days, Saturday and Sunday? Write two activities that you do in the morning, afternoon and evening.)
Asubuhi

1.

2.

Mchana

1.

2.

Jioni

2.


B. Andika ratiba yako ya kila siku ya shule au ya kazi. Onyesha wakati kila shughuli ambayo unaifanya. (Write down your schedule at school or at work. Show the time for each activity that you do.)


C. Ni saa ngapi sasa kwa Kiswahili? (What is the time now in Swahili?)

1. 9:20 am

2. 12:00 noon

3. 8:15 pm

4. 7:30 am

5. 1:00 am

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

 

© African Studies Institute, University of Georgia.