Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 4: Wakati. Telling the time > Glossary

Unit 4: Glossary

Kiswahili English
adhuhuriafternoon
alasiriearly evening
alfajiridawn
-amkawake up
-anzastart, begin
chamshakinywabreakfast
dakikaminute(s)
-fanya do(utafanya nini- what will you do?)
-fundishateach
hiithis
hospitalihospital
-ingiaget in
jionievening
kanisaniat church
kasoroless
kasoro roboquarter to
kaziniat work
keshotomorrow
kilaevery
kipindi (vipindi)period, class (perods, classes)
kipindi cha kwanzafirst period
kipindi cha pilisecond period
kipindi cha tatuthird period
kipindi cha nnefourth period
kulato eat
-kwendago
madukaniat the shops, shopping
magharibilate evening
mapumzikobreak, recess
mchanaafternoon
mkutanoniat the meeting
mpakatill
mpiraniat the ball (soccer)
niis
nusuhalf
nyingia lot, many
nyumbahouse(s)
nyumbaniat home
-ongeatalk
ratibaschedule(s), timetable(s)
roboquarter
rudireturn, come back
saatime
saa ngapiwhat time
saa moja kamiliseven o’clock
saa ngapiwhat time
saa tisa kamilithree o’clock
safishaclean
sawathe same as
shughuliactivities (activity)
sokonito the market
-tayarishaprepare
-tokaget off, leave
usaficleanliness
usikunight
usiku wa mananelate night
vipindi (kipindi)periods, classes (period, class)
vitu (kitu)things (things)
wikiweek(s)
-zungumzaconverse

 

 

© African Studies Institute, University of Georgia.