Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 4: Wakati. Telling the time > Lesson 2: Wakati wa kwenda kazini

    

KWENDA KAZINI. (GOING TO WORK)

Pili: Hujambo Paulo?

Paulo: Sijambo. Habari za leo?

Pili: Nzuri. Habari za nyumbani?

Paulo: Salama tu. Wiki hii unaingia kazini saa ngapi?

Pili: Wiki hii naingia kazini asubuhi na ninatoka alasiri.

Paulo: Mmm. Mimi ninaingia usiku na ninatoka alfajiri. Na wiki kesho nitaingia alasiri mpaka usiku wa manane.

Pili: Mimi wiki kesho nitaingia mchana mpaka usiku.

Paulo: Ah Ratiba nzuri hiyo.

Pili: Haya tutaonana baadaye.

Paulo: Baadaye.

 

 

© African Studies Institute, University of Georgia.